Friday, June 15, 2012

IKOWAPI NJIA-SASUYNI BAND

IKOWAPI NJIA-SASUYNI BAND

KUTANA NA DOUGLAS PIUS(DP). MTANGAZAJI ANAYEPIGANIA KUKUBALIKA KWA HIPOP GOSPEL TANZANIA.




Douglas Pius(DP) ni mtangazaji wa kituo cha radio cha praise power kilichopo Mikocheni B Dar-es-salaam Tanzania.Harakati zake za utangazaji zilianzia mkoani Mbeya ambapo alianza kutangaza kupitia kituo cha radio kijulikanacho kama BOMBA FM.Na baada ya muda alihamia katika kituo cha radio ya kidini ijulikanayo kama BARAKA FM ipatikananyo jijini Mbeya na kuzidi kufanya vizuri zaidi mpaka ikapelekea kuchukuliwa na radio ya PRAISE POWER kinachomilikiwa na kanisa la Mikocheni B Assemblise of God.
    Kabla hajaokoka DP alikuwa anafanya muziki wa Rap hivyo alivyookoka aliendelea kulinyanyua jina la Yesu kwa njia ya HIPOP GOSPEL.

     Kwasasa amefanikiwa kuanzisha kipindi cha HIPOP GOSPEL kupitia kituo cha PRAISE POWER na kipindi icho  kinalushwa kila siku ya jumamosi kuanzia saa 10 za jioni mpaka saa 1 za usiku.

UCHAGUZI WA NGAZI YA URAISI NA MAKAMU WA RAISI WAFANYIKA LEO ROYAL COLLEGE OF TANZANIA





Wanafunzi wa Royal College of  Tanzania wanatumia haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi wao kwa ngazi ya Uraisi na Makamu wa urais ambapo nafasi izo zinawaniwa na DAMIAN NDELWA maalufu kwa jina la pastor na PETER kwa nafasi ya Uraisi uku mgombea mmojawapo JACKSON MSABAHA akiondolewa  kwenye kinyang'anyilo ilo baada ya kutotimiza vigezo.


kwa taharifa zaidi  tafuta group ya May 2011-2012 intake ROYAL COLLEGE OF TANZANIA people and their friends  on facebook

Thursday, June 14, 2012

UNAWAKUMBUKA MAKOMA?

Kundi linalotisha kwenye nyimbo za injili hususani kwenye 
 pop, R&B na dance ambalo limekuwa alivumi sana kwa sasa nchini kwetu wenye asili ya Kongo wameibuka upya kwenye AFRICA MUSIC AWARD 2012.
 Ndugu hao wanatarajiwa kuwa mojawapo ya watumbuizaji walioalikwa kwenye tukio ilo la kusisimua linalopangwa kufanyika 7/7/2012

for more detail visit http://africagospelawards.com/
NYIMBO MPYA http://www.youtube.com/watch?v=YgN-5OP6Zpk

Hii ni nyimbo iliyotoka hivi karibuni inayafanya vizuri katika vituo vay radio na television nchini.

Ze Drinkie ft King Charles-Cheka Kidogo(prod by Hans Q
Imefanyika (BongoTzNEWVideo).

Huu Ndio Mwazo wa Kutoa Nafasi Kwa Wapenzi wa Habari na Burudani Kupata Taharifa Wazitakazo.